Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Hatimaye uongozi wa klabu ya Yanga umekata mzizi wa fitina kwa kumalizana na mchezaji wake, beki Kelvin Yondani kwa kusaini naye mkataba wa miaka miwili.
Hatua hiyo imefikiwa mwafaka mara baada ya mazungumzo marefu baina ya uongozi wa Yanga na Yondani kwenda vizuri.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Upload by KidaniStars channel id: UCpg9aDs4Brj4atWcoHYPtFQ , O2uUOIWnj9E.
0 Comments