Watch Mikatale ya Samburu Part 1

Mikatale ya Samburu Part 1 Mikatale ya Samburu Part 1


Katika miaka ya hivi majuzi, sherehe za kufunga pingu za maisha zimeongezeka, lakini sio harusi za kawaida. Moran wa samburu wamekuwa wakifunga harusi na wanawake wazungu kutoka mataifa ya nje ambao wanaacha maisha yao na kuhamia kwenye manyatta Samburu. Asilimia 99 ya wanawake hao wanawazidi wa umri vijana hao wa kisamburu isieleweke kinachowavutia vijana hawa. hata hivyo Citizen Nipashe ilipata fursa ya kuzungumza na familia moja ya aina hii huko samburu na kama inavyoibuka kila mmoja ana sababu zake
Upload by Kenya CitizenTV channel id: UChBQgieUidXV1CmDxSdRm3g , hxVRpg0U0Tg.

Post a Comment

0 Comments